Featured

WABEBA RIZIKI WA FAMILIA

today March 25, 2023my_locationKanisa la Anglican


Background
share close

Wale wabeba riziki wa familia tunakutana tarehe 25/03/2023 Morogoro mjini kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni unapangaje kukosa!
Lakini pia ikiwa uko nje ya Morogoro na unatamani kuhudhulia kongamano hili tunakukaribisha uweze kushiriki kwa gharama ya sh.60,000/= ya malazi na chakula
Jiandikishe kwa namba hii +255753890853
Kongamano letu litaanza saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni, kwa wale wa mikoani kufika ni tarehe 24 jioni na kuondoka ni tarehe 26 Asubuhi..
Utapata chakula na malazi kwa gharama hizo karibu sana sana ni tarehe 25/03/2023 morogoro mjini.


Details
Begin March 25, 2023 H 00:00
End March 25, 2023 H 23:00
Location Kanisa la Anglican
Address Karibu na Round About - SUA
Phone +255753890853
Rate it
0%