PACKAGE OF TODAY 01

Kuwa halisi, ili wakivutiwa na maisha yako ya nje wakija ndani wakutane na maisha yale yale waliyoyaona nje. wewe sio wewe mpaka pale utakapoamua kuwa yule wa sirini hadharani. Iko tabia ya mtu akiwa na watu na akiwa pekee yake, tamani kuwa halisi usiyebadilishwa na aina ya watu au wingi wa watu wakuzungukao.

Historia ya muziki
Previous post

HISTORIA YA UIMBAJI NA MUZIKI

Next post

KUMPENDA MUNGU

Rodgers Mathew

Rodgers Mathew

Gospel Clinic Website Developer.

No Comment

Leave a Reply