Hii ni sala iliyopendekezwa. Haya sio maneno maalum yanayohusiana na ibada fulani, ila ni maombi ya mwongozo kuelekea hatua yako mpya ya kiimani.

 “Baba, ninajua nimevunja amri zako, na dhambi zangu zikanitenganisha nawe. Ninaomba unisamehe, na sasa ninahitaji kugeuka kutoka maisha ya dhambi na kukuelekea wewe. Nakuomba unisamehe, na unisaidie kutoka katika njia ya dhambi. Ninaamini kuwa mwanao, Yesu Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zangu, akafufuka kati ya wafu, yuko hai, anaisikia sala yangu. Ninamualika Yesu awe Bwana wa maisha yangu, aongoze na kutawala katika moyo wangu kuanzia sasa. Asante kwa kumtuma Roho wako Mtakatifu kunisaidia kukutii, na kuyafanya mapenzi yako katika maisha yangu yote. Katika jina la Yesu ninaomba. Amen.”

Hongera! Karibu katika familia ya Mungu!

Here is a suggested prayer. This is not a ritual based on specific words, but rather a prayerful guideline for your sincere step of faith.

 “Father, I know that I have broken Your laws and my sins have separated me from You. I am truly sorry, and now I want to turn away from my past sinful life toward You. Please forgive me, and help me turn away from sin. I believe that Your Son, Jesus Christ died for my sins, was resurrected from the dead, is alive, and hears my prayer. I invite Jesus to become the Lord of my life, to rule and reign in my heart from this day forward. Thank You for sending Your Holy Spirit to help me obey You, and to do Your will for the rest of my life. In Jesus’ name I pray. Amen.”

Congratulations! Welcome to the family of God!