ROMANS 14:22-23

22 So whatever you believe about these things keep between yourself and God. Blessed is the one who does not condemn himself by what he approves. 23 But whoever has doubts is condemned if they eat, because their eating is not from faith; and everything that does not come from faith is sin.

WARUMI 14:22-23

22 Ile imani uliyo nayo uwe nayo nafsini mwako mbele za Mungu. Heri mtu yule asiyejihukumu nafsi yake katika neno lile analolikubali. 23 Lakini aliye na mashaka, kama akila, amehukumiwa kuwa ana hatia, kwa maana hakula kwa imani. Na kila tendo lisilotoka katika imani ni dhambi.