Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua. Yeremia 33:3

Mpendwa katika Kristo, ninakualika kutazama video hii ambayo utapata kujifunza kuhusu ufahamu na maarifa. Roho mtakatifu akuwezeshe uweze kuelewa kila neno, Amen…

Ukifuatilia nyakati katika maandiko utagundua kwamba tunaishi nyakati za mwisho. Tumekaribia mahali ambapo Yesu anarudi kulichukua Kanisa lake. Hakuna ajuaye ni karibu kiasi gani ila ni KARIBU. Yesu anasema yuko malangoni, anakuja.

    “Hakuna madhihirisho pasipokuwa na maandalizi”
“There is no manifestation without preparation…”

Mit 16:1
Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana.

Wengi huwa na mipango na malengo mbalimbali bila kuangalia wamewekeza nguvu kiasi gani ya kuweza kutimiza malengo waliyonayo.”

Mawazo haya yanaweza kuwa rahisi tu, kama hauna mpango wa kuongozwa na Roho mtakatifu. Lakini kama wewe ni mmoja kati ya wale wajinyenyekezao mikononi mwa Bwana, ni swali la muhimu sana na la msingi kujiuliza.

YOUR MIRACLE WILL SEEK YOU OUT

If you are where God wants you to be, your miracles will come and meet you there. If you are living where God wants you to live, working, worshiping in the church where God wants you to be worshiping, your miracle will meet you there. If you are not where God wants you to be, your miracles will be suspended.

THE DISCIPLINE OF VISION

“Where there is no vision, people perish; Blessed is the man who keeps the law.” Prov 29:18

nini maoni yako / what is your response